Wema Sepetu bado
anaendelea kushikiliwa na polisi jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za dawa za
kulevya ambapo jana baadhi ya watuhumiwa wenzake walifikishwa mahakamani
na
kuachiwa kwa dhamana. Leo February 8, 2017 Kamanda wa Polisi wa Kanda
maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema kuwa jeshi lake bado
linamshikilia Wema na wenzake saba ambao walikamatwa na vielelezo na kuwa
jalada lao limepelekwa kwa wakili wa selikali alipitie ili aone ushahidi uliopo
pamoja na kupata majibu kutoka kwa mkemia mkuu wa selikali kubaini kama kweli
ni mtuamiji wa madawa ya kulevya.
UTAFITI:UNENE UNAUA MAPEMA…!!
Utafiti wa kimataifa umegundua kuwa kunenepa kunahusiana moja kwa moja na
visa vya watu kufa
mapema, huku wanaume wakiwa katika uwezekano mara tatu wa
kufariki zaidi ya wanawake.
Kwa kutumia data
kutoka takriban …Read More
LIL WAYNE ASTAAFU MUZIKI…
Lil Wayne ametangaza
kwamba amestaafu kutoka kwenye tasnia ya muziki.
Aliandika kwenye Twitter:
"Sasa sijiwezi tena, haka kiakili, na naondoka kwa staha na nashukuru
mashabiki wangu."
Hata hivyo, hajafafanua iwapo
ataa…Read More
2016 WAELEKEA KUWA MWAKA WENYE JOTO KALI KUWAHI KUREKODIWA..!
Mwaka
huu wa 2016 huenda ukawa ndio wenye joto kali zaidi kuwahi kurekodiwa, kufuatia
hali ya joto
duniani kuweka rekodi mpya ya viwango vya nyuzi joto katika miezi
sita ya kwanza.
Hayo ni kwa mujibu wa Shirika la Hali y…Read More
PANYA SASA KUTUMIA UZAZI WA MPANGO…!
Chuo Kikuu
cha Kilimo cha Sokoine (SUA), kimepata suluhisho la kupunguza kuzaliana panya
nchini kwa
kuanzisha uzazi wa mpango kwa wanyama hao.
Akizungumza
na waandishi jijini Dar es Salaam Mtaalamu wa Kilimo w…Read More
TANZANIA KINARA WA SOKO LA SIMU AFRIKA…
Ripoti
ya mwaka 2016 ya Uchumi wa Simu za Mikononi Afrika inasema kuwa,
Tanzania ni
miongoni mwa nchi nane Afrika zenye soko kubwa la simu za mikononi.
Ripoti
hiyo iliyozinduliwa jijini Dar es Salaam jana kwenye mk…Read More
0 comments:
Post a Comment