Thursday, 2 February 2017

BEYONCE ATARAJIA KUJIFUNGUA MAPACHA…

Picha ya Instagram ya Beyonce
Chini ya wiki mbili tangu Donald Trump aapiswhe kuwa rais wa Marekani, taarifa kuu kutoka Marekani tangu wakati huo zimehusiana na siasa.

Amri za Trump na mabadiliko kwa sera za Marekani vimeonekana kugubika masuala mengine yanayoibuka Marekani.
Kabla ya Trump kuapishwa, mashabiki wengine walidai kuwa Beyonce angetoa albamu mpya wakati Trump akiapishwa.
Hata hivyo Beyonce hakutoa albamu bali alitangaza kupitia mtandao wa Instagram kuwa angetoa vitu tofauti,
Beyonce, mumewe Jay Z na binti wao Blue Ivy
Ukweli ni kwamba Beyonce ana ujauzito wa mapacha.
Picha ya Instagram ilimuonyesha Beyonce akiwa amepiga magoti kando na maua akionekana kuwa mjamzito.
Taarifa hizo za Beyonce zilionekana kuwavutia watu kutoka mitandao mingine.

Watu wengine wamekuwa wakitoa maoni yao kuhusu majina watakayopewa watoto wa Beyonce, wenginewakisema waitwe Yellow na Red Ivy. Binti wa umri wa miaka mitano wa Beyonce na Jay Z aliopewa jina la Blue Ivy Carter.

Related Posts:

  • JALADA LA MASOGANGE LAKWAMA KWA AG. Msanii  maarufu anayepamba  video za wasanii wa muziki wa bongo Fleva (Video Queen) Agnes Gerald maarufu Masogange ameendelea kusota rumande, huku jalada lake likiendelea kuwa mikononi mwa Mwanasheria Mkuu wa Se… Read More
  • TID FT FID Q - MAISHA YA JELA (OFFICIAL AUDIO) This majestic song was recorded back in 2007, astonishingly, 3 days after vacating those jail bars and bolts. What one must reflect on is the fact that TID wouldn't have been out of those daunting shackles if it w… Read More
  • VIDEO: KUNA COLABLE YA ALLY KIBA NA YVONNE CHAKA CHAKA INAKUJA... Tizama  simulizi hapo chini kuhusu collabo hiyo ya Yvonne Chakachaka na Alikiba. … Read More
  • VIDEO: WYRE-LION After giving us a top notch music video shot in Atlanta featuring Dj Protege some time back, Wyre has released a heartfelt jam ‘Lion’ that expresses his love for his son. Lion shows a softer side of the artist. The vid… Read More
  • NEW VIDEO: DAVIDO-IF Davido Mwimbaji staa kutokea Nigeria ambaye ameshawahi kuja kutumbuiza Tanzania, tayari mpaka sasa anazo hits kadhaa zilizofika mpaka kwenye Top10 za Radio na TV Tanzania. Itazame video hiyo hapa chini. … Read More

0 comments:

Post a Comment