Mshindi wa tuzo ya MTV EMA 2016, Alikiba ametua nchini Afrika
Kusini tayari kwa ziara yake ya kwanza nchini humo.
Alikiba (nyuma) akiwa na meneje wake Seven Mosha nchini Afrika Kusini)Wakati akitangaza kwa mara ya kwanza ziara hiyo, Alikiba
aliandika, “Happy New Year. It’s time to meet my fans across the world. I start
with South Africa in February 2017! . KING KIBA LIVE ON TOUR IN SOUTH AFRICA Pamoja na ziara ya Afrika Kusini, Kiba atakuwa na nyingine baadaye Marekani na Ulaya.
NEW GASPAL HIT FROM ANGEL BENARD-SITEKETEI (VIDEO)
SITEKETEI "Ni wimbo wa MAFUNZO ya ahadi za Mungu katika maisha yetu, na uhakika wa usalama wetu ndani Yake, licha ya changamoto za kila siku.
Isaya 43: 2
Unapitia kati ya maji, nitakuwa pamoja nawe,
Na unapovuka mito,
Haw…Read More
NEW VIDEO:ROMA & STAMINA-HIVI AMA VILE
Roma na Stamina kupitia umoja wao ‘Rostam’ ameachia
video ya ngoma yao mpya ‘Hivi Ama Vile’, video imeongozwa na Nicklass, audio ni
Mr. T Touch.
…Read More
VIDEO: JOH MAKINI FT DAVIDO-KATA LETA
Rapa kutoka kundi la Weusi, Joh Makini amekuja na video yake mpya iitwayo Kata Leta ambayo amemshirikisha Staa kutoka Nigeria, Davido.
Tazama video yenyewe hapa chini.
…Read More
VIDEO MPYA:ROMA ASIMULIA ALIVYOTEKWA….
Rapa Roma Mkatoliki ameachia video ya wimbo wake ‘Zimbabwe’ ukiwa ni wimbo wake wa kwanza tangu alipotekwa na kuteswa kwa siku tatu.
Kupitia ‘Zimbabwe’ Roma amesimulia tukio la utekaji wake, watu anaoamini walimt…Read More
OMMY DIMPOZ-CHECHE (OFFICIAL AUDIO)
Kutoka PKP Kijana Ommy Dimpoz ametulea jiwe jipya linakwenda kwa jina la CHCHE,unaweza kulisikiliza kwa kubonyeza play a au kudownload hapa chini.
…Read More
0 comments:
Post a Comment