Bunge
la uwakilishi nchini Marekani limepiga kura kuondoa sheria inayowaruhusu watu
walio na akili punguani kumiliki bunduki.
Chini
ya sheria hiyo iliopitishwa na utawala wa Barrack Obama, uchunguzi wa kina
utafanyiwa mtu anayetarajiwa kumiliki bunduki hiyo ambaye hupata ufadhili wa
walemavu na ana matatizo ya kiakili.
Mwenyekiti
wa kamati ya haki Bob Goodlatte amesema kuwa, sheria hiyo inabagua na kwamba
hakuna ushahidi wowote kwamba watu walio na akili punguani wako hatarini mbele
ya umma.
Rais
Donald Trump alifanya kampeni na kuahidi kwamba Wamarekani wataendelea kumiliki
bunduki.
0 comments:
Post a Comment