Wednesday 29 April 2015

Shilingi ya Tanzania yazidi kuporomoka……

Shilingi ya Tanzania imeendelea kushuka hadi kufikia anguko la asilimia 20 dhidi ya dola
ya Kimarekani,hali inayotajwa kuwa si tu inaathiri mitaji ya uwekezaji bali pia kipato cha mtu binafsi.
Kwa sasa ubadilishaji wa shilingi ya Tanzania kwa dola ya Kimarekani imefikia shilingi elfu mbili kwa dola moja na kuathiri mwenendo wa kiuchumi.
Kiwale 11 blog imepiga story na waziri kivuli wa wizara ya fedha nchini Tanzania James Mbatia, ambaye ameanza kwa kubainisha kuporomoka kwa sarafu hiyo.
Bonyeza hapa chini kumsiiliza.



0 comments:

Post a Comment