Monday 20 April 2015

Nchi zaidi ya 150 zakutana Marekani..!!!



 Mkutano wa mwanzo wa mwaka wa majira ya machipukowa Bank kuu ya dunia na shirika la kimataifa la fedha duniani IMF,unaowakusanya pamoja mawaziri wa fedha,Magavana wa Bank kuu za kitaifa na wataalamu wa kiuchumi toka zaidi ya mataifa 150 unaendelea nchini Marekani.

Wajumbe katika mkutano huo wamekuwa wakizungumzia juu ya Athari za kushuka kwa bei za mafuta duniani pamoja na maswala ya akiba ya chakula na maswala mengine muhimu.
Waziri wa fedha hapa nchi Bi Saada Mkuya, anaehudhuria mkutani huo amesema kuna maswala muhimu kuhusua Afrika yaliyojadiliwa katika mkutanmo huo,Bonyeza hapa chini umsikie akizungumzia maswala yanayoihusu Africa yaliyozungumzwa katika mkutano huo.


0 comments:

Post a Comment