Tuesday, 20 June 2017

SAYARI NYINGINE 10 ZIMEGUNDULIWA, BINADAMU WANAWEZA KUISHI………

Kila siku binadamu amekuwa akifikiria mbinu mpya ambayo itamsaidia katika maisha yake ya kila siku, na kutokana na maendeleo ya Sayansi na Teknolojia kugundua vitu vipya
imekuwa rahisi sana kwa binadamu.

Kiwale11 blog leo imekutana na story inayowahusu Wanasayansi wa Shirika la Anga la Marekani NASA ambao wanasema kuwa wamegundua Sayari nyingine 10 angani, ambazo inadaiwa binadamu wanaweza kuishi.

Kwa uvumbuzi huu ni dhair sasa binadamu tutakuwa na root nyingi za kutembelea maeneo mengine tofauti na duniani pekee tulipo,kwa kuweza kutoka kabisa nje ya duni kama safari za kuelekea mwezini zinazofanyika.


Reactions:

0 comments:

Post a Comment