Thursday, 29 June 2017

HELIKOPTA ILIYOTUMIKA KUSHAMBULIA MAHAKAMA YAPATIKANA VENEZUELA…..

Vikosi vya usalama nchini Venezuela vimepata helikopta iliyotumiwa na afisa muasi wa polisi kupaa juu ya majumba ya serikali mjini Caracas huku ikikiangusha guruneti na kupiga risasi siku ya
Jumanne.

Makamu wa rais wa Venezuela, Tareck El Aissami, amesema helikopta hiyo ilipatikana karibu na karibu na jimbo la Vagas pwani kaskazini, kilo mita arubaini na tano kutoka mji mkuu wa Caracas.
Aliatoa picha zinzo inayoonyesha helikopta hiyo katika maeneo ya milima ikisafisha maeneo yaliyozungukwa na migomba ya ndizi.
Kufikia sasa hakuna dalili yakupatika na kwa rubani Oscar Lopez, afisa huyo wa polisi huku serikali ikitaja kisa hicho kuwa kitendo cha ugaidi.

Related Posts:

  • KASHMIR:MARUFUKU MATUMIZI YA ANASA….. Serikali ya Jimbo la Kashmir nchini India imeweka zuio dhidi ya gharama za anasa. Wazazi wa bibi harusi watapigwa marufuku kualika zaidi ya wageni mia tano, au mia nne ikiwa mtoto wa kiume atakuwa anaoa. Idadi ya aina … Read More
  • SIMU YA ADOLF HITLER KUPIGWA MNADA MAREKANI. Simu iliokuwa ikitumiwa na kiongozi wa Wanazi Adolf Hitler kupigwa mnada Marekan Simu iliyokuwa ikitumiwa na Adolf Hitler wakati wa vita vikuu vya pili vya Dunia itapigwa mnada nchini Marekani mwisho mwa juma hili. Simu… Read More
  • WABUNGE WAIDHINISHA KILIMO CHA BANGI UHOLANZI. Bunge la chini nchini Uholanzi, limeidhinisha kuhalalishwa kwa kilimo cha bangi. Mswada huo ulioidhinishwa utawakinga wakulima wa bangi, ambao wanatimiza masharti fulani dhidi ya kuadhibiwa. Mswada huo bado haujaidhini… Read More
  • MUGABE ANAWEZA KUPIGIWA KURA AKIWA MAITI.. Grace Mugabe na mumewe rais wa Zimbabwe Robert Mugabe Mke wa Rais mkongwe wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amesema kuwa mumewe ni mashuhuri sana hivi kwamba anaweza kupigiwa kura hata akiwa maiti. Bwana Mugabe, ambaye ataku… Read More
  • NJAA YASABABISHA VIFO VYA ZAIDI YA WATU 100 SOMALIA... Waziri mkuu wa Somalia Hassan ali Khaire, amesema watu mia moja na kumi wamefariki kutokana na visa vinavyo husiana na ukame na baa la njaa katika eneo la kusini mashariki mwa nchi hiyo, katika kipindi cha saa nane zilizo… Read More

0 comments:

Post a Comment