Friday 12 June 2015

Akosa taji la urembo kwa picha za uchi...!!


Malkia wa urembo Zimbabwe
Kwa mara ya pili mfululizo waandalizi wa shindano la malkia wa urembo nchini Zimbabwe wametupilia
mbali ushindi wa taji hilo uliomwendea malkia wa urembo kufuatia sakata ya picha za uchi.
Emily Kachote alikuwa ameshinda taji la malkia wa urembo nchini Zimbabwe mnamo mwezi Aprili na alitarajiwa kuwakilisha taifa hilo katika mashindano ya dunia ya malkia wa urembo nchini Uchina mnamo mwezi disemba.
Lakini waandalizi wa taji hilo wanasema kuwa bi kachote alikiuka sheria ya shindano hilo ambalo linapinga wanaoshindana kupiga picha za uchi .

0 comments:

Post a Comment