Tuesday, 2 June 2015

Ajuza aokolewa katika boti iliozama China….



 
Waokozi nchini Uchina wanaowasaka manusura kutoka kwenye meli ya abiria iliyozama katika mto Yangtze wameweza kumvuta kutoka kwenye meli hiyo mwanamke mwenye umri wa miaka 85.

Mwanamke huyo ni mmoja wa watu wapatao 12 wanaofahamika kunusurika katika ajali hiyo iliyotokea baada ya meli hiyo kuzama jana usiku.
Miili ya watu imekuwa ikivutwa kutoka kwenye meli hiyo.
Watu zaidi ya 450 walikuwa wameabiri meli hiyo ilipopata ajali kutokana na hali mbaya ya hewa.

Related Posts:

  • MZEE AISHI CHINI YA MTI KWA MIAKA 15 Mzee wa miaka 72 ambaye alikuwa Ofisa Elimu Mkoa wa Tanga mwaka 1975, John Kihendo aliyestaafu mwaka 1989, ameamua kuishi chini ya mti kwa muda wa miaka 15 kwa madai kuwa anaitafuta haki ya shamba lake lenye ukubwa wa hek… Read More
  • MUGABE ASHEREHEKEA KUTIMIZA MIAKA 93… Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe, kiongozi wa taifa mwenye umri wa juu zaidi duniani kwa sasa, ametimiza miaka 93. Kiongozi huyo anatarajiwa kujumuika kwa sherehe ya faradha na jamaa, wafanyakazi wake wa karibu na baadh… Read More
  • TID FT FID Q - MAISHA YA JELA (OFFICIAL AUDIO) This majestic song was recorded back in 2007, astonishingly, 3 days after vacating those jail bars and bolts. What one must reflect on is the fact that TID wouldn't have been out of those daunting shackles if it w… Read More
  • MUGABE ANAWEZA KUPIGIWA KURA AKIWA MAITI.. Grace Mugabe na mumewe rais wa Zimbabwe Robert Mugabe Mke wa Rais mkongwe wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amesema kuwa mumewe ni mashuhuri sana hivi kwamba anaweza kupigiwa kura hata akiwa maiti. Bwana Mugabe, ambaye ataku… Read More
  • VIDEO: WYRE-LION After giving us a top notch music video shot in Atlanta featuring Dj Protege some time back, Wyre has released a heartfelt jam ‘Lion’ that expresses his love for his son. Lion shows a softer side of the artist. The vid… Read More

0 comments:

Post a Comment