Show inakujia kila siku za juma tatu mpaka ijumaa kuanzia saa kumi jioni mpaka saa kumi na mbili na nusu jioni,ndani ikiwa na mchanganyiko wa habari,matukio,mahojiano na burudani mbali mbali.
Hapa chini nimekuwekea shoy ya Tar 5-6-2015 unaweza kuisikiliza kwa kubonyeza play au kuidownload.
Burundi: Wanafunzi watahadharishwa..!!!!
hali ya usalama ni tete nchini Burundi, watu watano wameripotiwa kupoteza maisha
Wanafunzi katika chuo kikuu cha
Burundi mjini Bujumbura, wanasema kuwa serikali imewaagiza
kufungasha
virago vyao na…Read More
Kwa bei ya sh.500/= utayajua magonjwa sugu 8 ambayo yanatibiwa kwa mbegu za tikiti maji, usikose nakala yako ya gazeti la Tabibu wiki hii.
Katika michezo fahamu maisha ya Simon Msuva na mengine mengi.
…Read More
Utafiti mwingine ni hatarii usijaribu...!!
Kesi za watu kujipiga risasi sio ngeni
kusikika na mara kwa mara, zimekuwa zikitokea sehemu mbalimbali duniani
kutokana sababu mbalimbali ambazo hufikiwa na walengwa.
Hii imetokea kule Hispania baada ya
jamaa kukaa na k…Read More
0 comments:
Post a Comment