Kama jana ulipitwa na show ya Antenna ya Radio 5,basi nimekuwekea hapa kumbuka ni siku tano za wiki juma tatu mpaka ijumaa,kuanzia saa kumi kamili jioni mpaka kumi na mbili na nusu jioni.
Bonyeza Play hapa chini kusikiliza kilicho hapen jana kwenye show With Kiwa Strong.
FULL VIDEO: ZIARA YA KUSTUKIZA YA RAIS MAGUFULI AIRPORT DSM.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, February 08 2017 amefanya ziara ya kushtukiza
katika mradi wa ujenzi wa jengo jipya la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere Jijini Dar es S…Read More
BUNGE LAWAITA MAKONDA, MNYETI KUJIELEA..
Bunge limepitisha kwa kauli moja,
azimio la kuitwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na Mkuu wa
Wilaya ya Arumeru, Alexander Mnyeti ili kuhojiwa na Kamati ya Haki, Kinga na
Madaraka ya Bunge.
Azimio
hilo…Read More
LEMA AZIDI KUKWAMA GEREZANI..
Mahakama
ya Hakimu Mkazi Arusha, imetupa pingamizi la mawakili wa Mbunge wa Arusha
Mjini, Godbless Lema la kuitaka isisikilize kesi ya kuhamasisha maandamano ya
Ukuta, bali kwanza ifikishwe Mahakama ya Katiba.
Lema, amb…Read More
HAYA NDIYO MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU RAIS MPYA WA SOMALIA..
Rais mpya wa Somalia Mohamed Abdullahi Mohammed anaitwa jina la utani Farmajo
aina ya chakula cha Kitaliano cha Jibini
Inasemekana kwamba
alipenda sana kula Jibini wakati alipokuwa kijana wakati wa ukoloni wa Italiano.
…Read More
WAFUASI 11 WA AL-QAEDA WAUAWA, YUPO MSHIRIKA WA OSAMA..
Wizara ya ulinzi nchini Marekani imesema
Wanajeshi wa nchi hiyo wamewaua takribani wafuasi 11 wa mtandao wa kigaidi wa
Al-Qaeda kupitia mashambulio mawili ya kutoka angani karibu na mji wa Idlib
nchini Syria mwezi huu.
…Read More
0 comments:
Post a Comment