NDEGE YA MISRI ILIYOTEKWA YATUA CYPRUS….
Ndege
iliotekwa nyara imetua katika uwanja wa ndege wa Larnaca nchini Cyprus.
Duru kutoka kwenye ndege hiyo
pamoja na za serikali ya Misri zimenukuliwa zikisema kuwa, ndege hiyo ya abiria
iliyokuwa ikisafiri kutoka mj…Read More
MJAMZITO AJIFUNGULIA MTOTO CHOONI…....
Msichana wa umri wa
miaka 17 ambaye alikuwa katika machungu ya uzazi, amejikuta akijifungulia
mtoto
chooni baada ya muuguzi mmoja wa Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam,
kumtaka aende kuoga na kubadilisha nguo bila y…Read More
WANASAYANSI: POVU LA CHURA TIBA YA VIDONDA…
Povu
linalotengenezwa na vyura wadogo kwa ajili ya kulinda mayai yao, linaweza
kuponya majeraha ya wagonjwa walioungua wamesema wanasayansi.
Povu gumu linaweza kukusanywa na
kutumiwa katika mchakato wa matibabu, kama …Read More
SHERIA YARUHUSU WANAOWAKASHIFU WAUME ZAO KUPEWA TALAKA..
Mahakama
katika mji mkuu wa India imeamua kwamba ni kosa, kwa mke kumuita mumewe Tembo
na kosa hilo linaweza kuwa sababu ya kupewa talaka.
Mahakama Kuu mjini Delhi imeidhinisha uamuzi wa mahakama ya
chini hiyo, ulioto…Read More
DAKTARI APIGWA NA NDUGU WA MGONJWA……
Madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Rufani Mkoa wa Mtwara Ligula,
wamegoma kutoa huduma baada ya mwenzao kudaiwa kupigwa na ndugu wa mgonjwa hadi
kuvuliwa nguo.
Tukio hilo lilitokea juzi majira ya
saa 5.00 asubuhi, b…Read More
0 comments:
Post a Comment