Tuesday, 16 June 2015

Kiongozi wa Al Qaeda nchini Yemen auawa…!!

Kiongozi wa Al Qaeda nchini Yemen auawa
Tawi la kundi la Al Qaeda nchini Yemen limethibitisha kuuawa kwa kiongozi wake wakati wa shambulizi la ndege isiyokuwa na rubani ya Marekani.
Ripoti kutoka kwa maafisa wa usalama nchini Yemen zinasema kuwa Nasser al-Wuhayshi aliuawa siku ya ijumaa katika mji wa bandari wa Mukala.

Kundi lake limelaumiwa kwa kupanga mashambulizi kadha dhidi ya Marekani likiwemo jaribio la kuilipua ndege ya Marekani mwaka 2009,pamoja na shambulizi katika gazeti la Charlie Hebdo mji Paris nchini Ufaransa mwezi Januari mwaka huu.

Related Posts:

  • Bunge lachafukaa.. Spika wa bunge Anna Makinda leo amelazimika kuliarisha bunge kabla ya muda wake wa kawaida, baada ya kuibuka mzozo mkali baada ya Madai ya Mbunge wa Ubungo Mhe.Mnyika, juu ya ukiukwaji wa kanuni za bunge katika kuwasilishw… Read More
  • Waziri aelezea hali ya ugaidi hapa nchini…… Naibu waziri wa mambo ya ndani Mheshimiwa Silima,amejibu swali juu ya hali ya ugaidi hapa nchini licha ya kifo cha kiongozi wa kundi la kigaidi Osama bin Ladden. Naibu waziri ameeleza hiyo leo bungeni mjini dodoma alipoku… Read More
  • NI VITA BUNGENI JULY 3...... Baada ya jana Bunge kuharishwa kutokana na wabunge wa upinzani kugomea nia ya kuruhusu miswada mitatu ya mafuta na gesi, kuingizwa bungeni na kujadiliwa kwa hati ya dharura, leo limehairishwa tena baada ya kubuka mz… Read More
  • Mtandao usiokubali dhambi wavutia wengi....!!! Waanzilishi wa Facegloria wanadai kwamba mtandao huo umewavutia wafuasi takriban laki moja tangu uzinduliwe mwezi Juni. Kuna maneno 600 yaliopigwa marufuku katika mtandao huo na kuna kibonyezo cha "Amen" kushabikia ujumb… Read More
  • Huruhusiwi kushika mimba Uchina bila ruhusa…… Kampuni moja ya Uchina inapanga kutoa masharti,ambapo wafanyikazi wake watatakiwa kupata ruhusa kabla ya kuanza familia. Sheria hizo zimechapishwa na kuzua malalamiko mengi katika mitandao. Sheria kuu inaelezea kwamba… Read More

0 comments:

Post a Comment