Thursday, 4 June 2015

Marekani yakiri kutuma kimeta zaidi…..!!



 
Maofisa wa ulinzi nchini marekani wamekiri kuwa maabara kadhaa zilizopokea kimakosa sampuli hai za vidudu hatari vya kimeta ni zaidi ya mara mbili ya matarajio ya awali.

Pentagon imesema vifaa hamsini na moja katika majimbo kumi na saba nchini Marekani, pamoja na maabara zilizopo nchini Canada, Australia na Korea kusini walitumiwa sampuli hizo kutoka maabara ya jeshi la marekani.
Imesema usafirishaji wa vijidudu hivyo vilianza miongo kadhaa iliiyopita na iliendelea mpaka wiki iliyopita.
Hadi sasa hakuna mtu aliyeathirika lakini zaidi ya watu ishirini walikuwa wakibeba sampuli hizo wamekuwa wakitibiwa kwa tahadhari tu.

Related Posts:

  • Maji ya ATM yazinduliwa nchini Kenya…… Wakazi wa kitongoji duni cha Mathare katika mji mkuu wa Kenya Nairobi, sasa wanaweza kupata maji safi ya kunywa na kwa matumizi mengine. Mpango unaoungwa mkono na serikali umezinduliwa kwenye mji mkuu wa Kenya Nairobi, u… Read More
  • Mazungumzo ya amani Burundi kuanza tena… Rais Pierre Nkurunziza Mazungumzo ya kutafuta amani nchini Burundi, yanatarajiwa kuanza tena leo baada ya kusitishwa kwa siku kadhaa. Mazungumzo hayo ni kati ya serikali, vyama vya upinzani na makundi ya kutetea haki za … Read More
  • Mwalimu mkuu ashiriki ngono na wanafunzi……!! Mwalimu mmoja mkuu, amekiri kufanya ngono na wavulana wawili wenye umri mdogo. Anne Lakey mwenye umri wa miaka 55 kutoka eneo la Stanley katika kaunti ya Durham, amekanusha makosa 13 dhidi yake ya kufanya matendo ya aibu … Read More
  • Waendesha boda boda hatarini kuwa wagumba…!!! Madereva wa kiume wa pikipiki maarufu kama bodaboda na wengine wanaotumia usafiri huo kwa muda mrefu wapo katika hatari ya kuwa wagumba. Tafiti nyingine zilizofanywa zinazonyesha kuwa huenda wakakabiliwa na uhaba wa mb… Read More
  • Sherehe za nyama ya mbwa zaanza Uchina….! Sherehe ya kula nyama ya mbwa kusini magharibi mwa China,imeanza huku kukiwa na pingamizi miongoni mwa wanaharakati wa haki za wanyama. Takriban mbwa 10,000 watachinjwa na nyama yao kuliwa katika sherehe hizo,zitakazofany… Read More

0 comments:

Post a Comment