Tuesday, 2 June 2015

Ndege inayotumia miale ya jua yasitisha safarii...!!

Ndege inayotumia miale ya jua kupaa yatatizika
Safari ya mwisho ya ndege ya kwanza inayotumia nishati ya miale ya jua kupaa angani, imetatizika kutokana na hali mbaya ya hewa
.
Ndege hiyo iliondoka mapema Jumapili asubuhi mashariki mwa Uchina, katika safari ya siku sita kuelekea Hawahi, lakini safari hiyo imesitishwa baada ya hali ya hewa kuwa mbaya ilipokuwa kwenye anga ya bahari ya Pacific.
Wataalamu wa utabiri wa hali ya anga, wamemuomba rubani wa ndege hiyo kusitisha kwa muda safari hiyo ili kuruhusu hali ya hewa kuwa shwari, ndipo aendelee na safari yake.

Related Posts:

  • TIMU ZILIZOINGIA ROBO FAINALI EURO 2016.... Michuano ya Euro 2016 hatua ya 16 bora ya imemalizika tayari na hizi ndo timu ambazo zimesha ingia robo fainali baaada ya June 27 2016 kuchezwa michezo miwili ya mwisho. Mechi za robo fainali zitaanza kuchezwa June … Read More
  • WAZIRI MKUU WA UINGEREZA AJIUZULU….! Waziri mkuu wa Uingereza, David Cameron, ametangaza atajiuzulu, baada ya kushindwa kuwashawishi raia wengi wa Uingereza, kusalia katika muungano wa Ulaya. Cameron akiwa amejawa na huzuni amesema kuwa atasalia ofisini kw… Read More
  • ITALIA YAWATAKA WATENGENEZA PIZZA KUSOMA ZAIDI….. Kundi la maseneta wa Italia wametoa wito kwa watengenezaji wa Pizza nchini humo, kupasi mitihani yao ili kuboresha viwango vya uandaaji wa mlo huo. Wabunge 22 katika bunge la juu wamewasilisha mswada bungeni ambao ukipi… Read More
  • ALIMWA KADI NYEKUNDU KWA KUPUMUA MBELE YA MWAMUZI….! Mchezaji wa Sweden ameonyeshwa kadi nyekundu baada ya mwamuzi kumtuhumu kuwa alifanya vitendo visivyokuwa vya ‘kiungwana’ na ‘kiuanamichezo’ uwanjani. Adam Lindin Ljungkvist anayeichezea Pershagens SK, alikuwa uwanjani k… Read More
  • UKIJAAMIANA NA UNDER 18 JELA INAKUITA..…! June 27 2016 bunge la 11 limefanya mapitio ya marekebisho ya muswada wa sheria ya mtoto, ambayo imeelekeza kuwa mtu atakayempa mimba mtoto ambaye kisheria anafahamika ni yule mwenye umri wa chini ya miaka 18, basi atahu… Read More

0 comments:

Post a Comment