Wednesday, 3 June 2015

Nyama ya mbwa yasababisha kifo…….?



 
Kuna baadhi ya nchi kama China wana desturi ya kula nyama ya mbwa,hata baadhi ya makabila ya hapa Tanzania inadaiwa hutumia nyama ya mbwa kama kitoweo.

Pamoja na ulaji huo ambao wengi wao wanaamini hauna madhara, kuna taarifa kutoka Nigeria zinazohusisha watu watano kupoteza maisha baada ya kudaiwa kula nyama hiyo wakiwa katika hoteli moja ambayo ni maarufu kwa ulaji wa nyama ya mbwa.
Brain Ogbondah ambaye ni mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo alisema watu hao waliripotiwa kufa ikiwa ni muda mchache baada ya kula nyama hiyo iliyoandaliwa na Friday Dickson.
Uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea na viongozi wa familia wamewataka watu kuacha kula nyama hiyo.

Related Posts:

  • Raia Nigeria wapinga posho za wabunge…!!! Wananchi wa Nigeria wamechukizwa na taarifa kwamba wabunge wamejiidhinishia mamilioni ya dola kwa ajili ya posho ikiwemo ya mavazi. Gazeti moja nchini Nigeria limesema kuwa kwa mujibu wa sheria ya posho inayohusisha pi… Read More
  • China yaipa Takukuru vifaa vya bilioni 3…. Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dk. Edward Hoseah. Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China, imeikabidhi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) vifaa vya kiufundi vya Sh. bilioni tatu, kwa ajili ya kuiongezea ufanis… Read More
  • Je unakifahamu kiungo cha Giligilani? Usikose nakala yako ya gazeti la TABIBU kesho alhamisi likiwa limesheni habari kemkem kuhusu afya.                        … Read More
  • Wanafunzi Somalia wafanya mtihani wa taifa baada ya miaka 25..!!! Mtihani wa kwanza Somalia katika miaka 25Zaidi ya wanafunzi elfu 70 walifanya mitihani ya kidato cha nne katika maeneo ya kusini na kati mwa Somalia, ikiwa ni mitihani ya kwanza ya kitaifa katika kipindi cha miaka 25. … Read More
  • Serikali ya muungano ya Palestina kujiuzulu...!!! Rais wa mamlaka ya ndani ya Palestina Mahammud Abbas ametangaza kuwa serikali ya muungano aliyounda na Hamas mwaka jana itajiuzulu. Abbas hakutangaza ni lini hasa hatua hiyo itachukuliwa lakini inatarajiwa hatua hiyo itate… Read More

0 comments:

Post a Comment