SELFIE YAMSABABISHIA KIFO..!!
Kijana mmoja wa miaka 16 amegongwa na treni ya abiria na
kufariki nchini India, wakati akijipiga selfie mbele ya treni.
Story ni kwamba alisimama kwenye reli akisubiri treni
ifike karibu zaidi ili apige selfie.
Ripo…Read More
UGANDA YAZINDUA BASI LINALOTUMIA UMEME WA JUA..!
Basi
linalotumia umeme wa nguvu za jua ambalo watengezaji wake toka Uganda wanadai kuwa
la kwanza barani Afrika, limeendeshwa hadharani.
Basi hilo la kielektroniki aina
ya Kayoola linalomilikiwa na kampuni ya Kiira Moto…Read More
TAI KUTEKA NDEGE ZISIZOKUWA NA RUBANI UHOLANZI..!!
Maafisa wa polisi nchini Uholanzi, wameanza kuwafunza tai kuteka ndege
zisizokuwa na rubani zikiwa angani.
Katika video moja
iliyochapishwa kwenye mtandao, Tai anaonekana akiitwaa ndege moja isiyokuwa na
rubani kwa ma…Read More
WAJAWAZITO KUKOSA OLIMPIKI BRAZIL..!!
Wanawake
wajawazito wameshauriwa kutosafiri kwenda Brazil kushuhudia mashindano ya
Olimpiki mwaka 2016 kwa sababu ya hatari ya virusi vya Zika.
Serikali ya Brazil imesema kuwa
hawashauri wanawake wajawazito kwenda kweny…Read More
MWANAMKE ALIYEMUUA MUMEWE ASAMEHEWA…!!!
Rais
wa Ufaransa Francois Hollande amemsamehe mwanamke aliyekuwa amefungwa jela
miaka 10, kwa makosa ya kumuua mumewe kwa kumpiga risasi tatu.
Mume wa Jacqueline Sauvage
alikuwa mlevi aliyezoea kumpiga, na alikuwa amemb…Read More
0 comments:
Post a Comment