Monday 22 June 2015

Bunge la Afghanistan lashambuliwa……

Bunge Afghanistan
Ripoti zinasema kuwa kumetokea mlipuko mkubwa karibu na bunge la Afghanistan huko KabulPicha za runinga zinaonyesha wabunge wakikimbilia usalama wao.
Zipo ripoti zinazosema kuwa watu waliokuwa na bunduki walivamia jengo hilo.
Polisi wanajaribu kuwaondoa watu katika eneo hilo.
Wabunge wa Pakistan wakiwa nje ya eneo la Bunge baada ya Shambulio hilo.
Kundi la Taliban limesema kuwa linajaribu kutekeleza mashambulizi hayo, ili kusadifiana na kura ya kumwidhinisha waziri mpya wa ulinzi.

0 comments:

Post a Comment