Monday, 1 June 2015

Baiskeli yamvunja mguu John Kerry...!!!


John Kerry


Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa Marekani John Kerry, amelazwa katika Hospitali moja mjini Geneva, baada ya kuvunjika mguu, katika ajali ya uendeshaji baiskeli kwenye milima ya Alps, nchini Ufaransa.

Amefutilia mbali ziara yake ya bara Ulaya na sasa atarejea nchini Marekani leo Jumatatu.
John Kerry akipeleka baiskeli katika milima ya Alps nchini Ufaransa

Bwana Kerry alikuwa ziarani Switzerland kwa mazungumzo kuhusiana na mpango wa nuklia wa Iran, lakini akaamua kwenda mapumziko kidogo ya kuendesha baiskeli katika milima ya Alps, na hapo ndipo alipopata ajali hiyo.
Alipangiwa kuzuru Madrid leo Jumatatu.

Related Posts:

  • MLIMA KILIMANJARO WAIPAISHA TANZANIA KIMATAIFA.. Mlima Kilimanjaro umeendelea kuipaisha Tanzania kimataifa, baada ya kushinda kivutio cha asili Afrika kwenye Tuzo za Utalii duniani (WTA) zilizofanyika juzi visiwani Zanzibar. Mlima huo ni moja ya vipengele sita ambavyo… Read More
  • FACEBOOK YATUMIKA KUUZA SILAHA LIBYA… Utafiti mpya umebaini kwamba kuna soko linaloendelea kuimarika katika biashara haramu ya bunduki nchini Libya, kupitia mitandao ya kijamii hususan ule wa Facebook. Ripoti hiyo iliyoangazia miezi 18, ilibaini mauzo ya vi… Read More
  • HAKIMU ‘FEKI’ ATIWA MBARONI… Mkazi wa kijiji cha Kanyama Kata ya Bujora Wilaya ya Magu mkoani Mwanza Erick Mkundi (23), ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kufanya kazi kama Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Kongoro akiwa hana sifa hiyo. Mtuhumiwa huyo a… Read More
  • WANASAYANSI WAGUNDUA DAWA INAYOREFUSHA MAISHA…. Dawa inayotumika kwa matibabu ya kawaida, huenda ikategua kitendawili cha kurefusha maisha na kuzuia uzee. Hii ni kwa mujibu wa utafiti mpya, ambao ulibainisha kwamba viwango vya chini vya dawa aina ya Lithium vilisaidi… Read More
  • VIROBA VYAPIGWA MARUFUKU ARUSHA..! Mkuu wa Mkoa wa Arusha Felix Ntibenda, amepiga marufuku uuzwaji wa kilevi aina ya kiroba katika mkoa wake. Amesema uamuzi huo unatokana na vijana ambao ni nguvu kazi ya taifa, kushindwa kufanya kazi na kulewa wakati … Read More

0 comments:

Post a Comment