Nchini Afrika Kusini lalama zimetolewa dhidi ya sheria mpya kuhusu kupata
Visa ya watoto nchini Humo.
Sheria mpya imeanza kutekelezwa hii jana ambapo yeyote anayenuia kusafiri na mtoto atahitaji kuambatanisha na cheti chake cha kuzaliwa.
Kampuni za utalii zimelalamikia sheria hii na kusema itaathiri sekta hiyo inayoletea nchi kipato cha nje.
0 comments:
Post a Comment