Tuesday, 23 June 2015

Sherehe za nyama ya mbwa zaanza Uchina….!

Sherehe ya kula nyama ya mbwa kusini magharibi mwa China,imeanza huku kukiwa na pingamizi miongoni mwa wanaharakati wa haki za wanyama.
Takriban mbwa 10,000 watachinjwa na nyama yao kuliwa katika sherehe hizo,zitakazofanyika katika eneo la Yulin mkoa wa Guangxi siku ya jumapili na jumatatu.

Hii inafanyikia ili kuadhimisha kuanza kwa msimu wa joto kulingana na vyombo vya habari vya kitaifa.

Related Posts:

  • AJALI YAUA 11 TANGA, YAJERUHI 29..! Watu 11 wamefariki dunia leo huku wengine 29 wamejeruhiwa, baada ya Basi la Simba Mtoto kugongana uso kwa uso na lori katika kijiji cha Pangamlima wiliyani Muheza. Kamanda wa polisi Mkoani Tanga Mihayo Msikhela, amethi… Read More
  • MTOTO ALIYEZALIWA MOYO UKIWA NJE AFARIKI…!! Mtoto aliyezaliwa katika hospitali ya wilaya ya Meru mkoani Arusha akiwa na tatizo la moyo kuwa nje amefariki dunia. Mganga mkuu wa wilaya Meru Dr Ukio Boniface, amesema mtoto huyo alizaliwa tarehe tisa na tatizo hilo… Read More
  • MADUKA YAFUNGIWA KWA KUUZA KADI ZA KLINIKI…!! Halmashauri ya Tunduma Mkoa wa Songwe, imeyafungia maduka manne yanayotuhumiwa kuuza kadi za kliniki zenye maneno yaliyoandikwa ‘haziuzwi’. Mkurugenzi wa halmashauri hiyo Halima Mpita, amesema kuwa wameyafunga maduka ha… Read More
  • UTAFITI: FARASI HUBAINI HISIA ZA MWANADAMU..! Farasi huweza kubaini kati ya mtu aliye na furaha na aliye kasirika, kwa kuangalia uso wa mwanadumu utafiti umesema. Katika jaribio kwa kutumia picha za mwanamume wanasayansi kutoka chuo kikuu cha Sussex, walionyesha kw… Read More
  • ROBOTI INAYOIGA TABIA ZA MENDE YATENGENEZWA.…! Wanasayansi nchini Marekani wametengeneza roboti inayofanana na mende, ambayo inaweza kutumiwa kuwaokoa watu kunapotokea tetemeko la ardhi. Watafiti wanasema roboti hiyo inatumia mbinu zinazotumiwa na mende, kutembea kw… Read More

0 comments:

Post a Comment