Monday, 1 June 2015

Taulo lako unalifua mara ngapi kwa wiki....??




Labda ishu ya kufua taulo hauizingatii sana kwa vile unalitumia tu mara moja alafu unalitundika mpaka baadae au kesho, hivi una mpangilio maalum wa siku za kufua taulo lako,au huwa unalifua baada ya kulitumia mara ngapi?

Wataalamu wana hiki walichokishauri, wamesema unatakiwa kulifua taulo hilo baada ya kulitumia mara tatu au mara nne tu na sio zaidi ya hapo!!
Wanasema kama ukizidisha hapo kuna uwezekano mkubwa wa taulo kuzalisha bacteria ambao wanaweza kukuletea matatizo mengine kwenye ngozi.
Kingine kinachoshauriwa ni hiki, unaambia ni vizuri uwe unaning’iniza taulo sehemu ambayo linaweza kukauka kwa urahisi zaidi na usilichanganye na nguo au kitu kingine chochote kitakachofanya lichelewe kukauka.

Related Posts:

  • MTOTO WA NYANI’ ADAIWA KUBAKA MWANAFUNZI…! Kijana Baraka Joshua (23) inayedaiwa alikuwa akiishi na nyani baada ya kuzaliwa na kutupwa porini mkoani Shinyanga takriban miaka minane iliyopita, amepandishwa kizimbani Mahakama ya Wilaya ya Ilala, kujibu mashtaka ya k… Read More
  • WANASAYANSI WAGEUZA HEWA YA SUMU KUWA JIWE…!! Watafiti wanaoendesha uchunguzi katika eneo la Ice land, wanaamini kuwa wanaweza kupunguza hewa chafu inayochafua mazingira kwa kunasa hewa ya sumu ya carbon dioxide, na kuigeuza kuwa mawe. Wanasayansi hao waliyeyusha h… Read More
  • SHEREHE YA KULA NYAMA YA MBWA YAANZA CHINA…! Sherehe ya kila mwaka ya kula mbwa imeanza jana kusini mwa taifa la China licha ya pingamizi kutoka katika taifa hilo na ugenini Takriban mbwa Elfu 10 na paka kadhaa wanatarajiwa kuuawa na kuliwa, wakati wa sherehe hiyo… Read More
  • ZITTO ASEMA ALICHOHOJIWA NA POLISI…!! Jeshi la polisi kanda maalumu ya dar es salaamu lilimuita na kumuhoji mbunge wa kigoma mjini Zitto Kabwe, kwa ajili ya kupata ufafanuzi juu ya maudhui ya hotuba aliyo itoa jumapili iliopita katika viwanja vya Zakhi… Read More
  • MICHELLE OBAMA AJIUNGA SNAPCHAT…! Wapenzi wa Snap Chap wamepata mfuasi mpya,kwani Mke wa rais Wa Marekani Michelle Obama sasa amejiunga rasmi na mtandao wa kijamii wa Snapchat. Michelle alitangaza kuwa atajiunga na Snapchat mwezi huu ambapo pia anajianda… Read More

0 comments:

Post a Comment