Kasisi basha aishtaki kanisa kumbagua…!!!
Kasisi basha aishtaki kanisa kumbagua
Kasisi mmoja ambaye alinyimwa leseni ya kufanya kazi kama
mhudumu katika zahanati ya afya kwa misingi ya kuwa katika ndoa ya jinsia moja,amelishtaki
kanisa kwa kumbagua.
Kasisi
Jerem…Read More
Kiongozi wa Al Qaeda nchini Yemen auawa…!!
Kiongozi wa Al Qaeda nchini Yemen auawaTawi
la kundi la Al Qaeda nchini Yemen limethibitisha kuuawa kwa kiongozi wake
wakati wa shambulizi la ndege isiyokuwa na rubani ya Marekani.Ripoti kutoka kwa maafisa wa
usalama nchini…Read More
Unafahamu kwa nini kuna siku ya mtoto wa Africa…!!!
Tarehe
16 Juni ya kila mwaka Tanzania huungana na Nchi nyingine za Afrika kuadhimisha
Siku ya Mtoto wa Afrika.
Mnamo mwaka 1990
uliokuwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU),ulipitisha Azimio la kuwakumbuka
watoto wa ki…Read More
Askofu kushtakiwa kwa kudhulumu watoto…!!!
Askofu Josef Weslowski kushtakiwa kwa kudhulumu watoto
Kiongozi
wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, ameonekana kuanza kuwakabili makasisi
waliotuhumiwa kwa sakata ya ngono.
Askofu mmoja aliyekua mjumbe wa papa
katik…Read More
Raia Nigeria wapinga posho za wabunge…!!!
Wananchi
wa Nigeria wamechukizwa na taarifa kwamba wabunge wamejiidhinishia mamilioni ya
dola kwa ajili ya posho ikiwemo ya mavazi.
Gazeti moja nchini Nigeria
limesema kuwa kwa mujibu wa sheria ya posho inayohusisha pi…Read More
MHE. NDERIANANGA AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS IFAD
-
NA. MWANDISHI WETU BERLIN, UJERUMANI
Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, na
Uratibu, Mhe. Ummy Nderiananga, amekut...
0 comments:
Post a Comment