WANANE MBARONI KWA KUNYWA POMBE MCHANA…
Wilaya ya Sengerema imeanza kutekeleza kwa vitendo agizo la
Rais, baada ya kukamata watu wanane waliokutwa wakinywa pombe saa za kazi.
Amri ya kukamatwa na kuwekwa
mahabusu kwa watu hao ilitolewa juzi na Mkuu wa Wilay…Read More
CANADA KUHALALISHA MATUMIZI YA BANGI..!!
Serikali ya Canada itabuni sheria mpya
mwaka ujao, ambazo zitahalalisha uuzaji wa bangi.
Iwapo
sheria hiyo itaidhinishwa italiorodhesha taifa la Canada, miongoni mwa mataifa
yenye uchumi mkubwa magharibi kukubali matumi…Read More
MWANAMKE MTUMWA KUWEKWA KWENYE DOLA MAREKANI…
Picha
ya mtumwa mmoja aliyekata nyororo na kisha kusaidia mamia ya wenzake kutoroka
utumwa, sasa itatumika katika noti mpya ya dola 20 nchini Marekani.
Bi Harriet Tubman atakuwa
Mwafrika Mmarekani wa kwanza, kuingizwa k…Read More
MALKIA ELIZABETH ATIMIZA MIAKA 90…
Siku ya leo tarehe 21-4-2016 Malkia Elizabeth ametimiza miaka tisini ya kuzaliwa.
Malkia atasheherekea siku hii kwa kukutana na wananchi wake katika
matembezi atayafanya huko Windsor.
Malkia Elizabeth ametawala kwa
mu…Read More
MSOMI AVUA NGUO KWA KUFUNGIWA OFISI…
Hatua ya mwanamke mmoja msomi ya kuvua nguo nchini Uganda, imezua mjadala
mkali nchini humo.
Baada ya kukerwa na hatua ya
kufungiwa nje ya ofisi yake na usimamizi wa chuo kikuu cha Makerere, Stella
Nyanzi alivua nguo zo…Read More
0 comments:
Post a Comment