Wednesday, 24 June 2015

Hollande achunguzwa na NSA…..?

Mtandao wa Wikileaks umechapisha nyaraka zinazoonyesha kuwa chombo cha upelelezi cha Marekani NSA kimemchunguza rais wa Ufaransa, Francois Hollande, na marais wawili waliokuwa kabla yake.
Pata taarifa zaidi kwa kubonyza play hapa chini

Related Posts:

  • BIBI HARUSI AJARIBU KUMUUA MUMEWE BAADA YA NDOA Bibi harusi katika jimbo la Tennessee nchini Marekani, ametiwa nguvuni baada ya polisi kusema kuwa alitoa bunduki kwenye gauni lake la harusi na kumtishia mumewe saa chache tu baada ya kufunga ndoa. Kate Elizabeth Prich… Read More
  • MKUU MPYA WA FBI APATIKANA…… Bunge la Seneti nchini Marekani limepiga kura ya kuthibitishwa Bwana Christopher Wray kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kijasusi la Marekani la FBI. Nafasi hiyo ilikuwa wazi tangu James Comey alipotimuliwa na Rais Dona… Read More
  • KAMPUNI YA CHINA YASHTAKIWA KWA KUCHAFUA MAZINGIRA GAMBIA….. Wanamazingira kutoka miji midogo ya pwani nchini Gambia wameipeleka kampuni moja ya China mahakamani kwa madai ya kutupa takataka za sumu kwenye bahari. Hatua hiyo inakuja baada ya serikali kukubaliana nje ya mahakama n… Read More
  • UTAFITI: RAILA APATA USHINDI MWEMBAMBA DHIDI YA UHURU... Wakati matokeo ya tafiti mbalimbali yanaendelea kutolewa kuhusu uchaguzi mkuu wa Kenya, matokeo ya utafiti mpya uliofanywa na Infotrak, unaonesha mgombea wa kambi ya upinzani ya NASA Raila Odinga angepata ushindi mwembamb… Read More
  • RAIS MUSEVENI: SIJAUGUWA KWA MIAKA 31 Mara nyingi kumekuwa na ripoti za kuugua kwa marais, hasa rais wa Nigeria Muhammadu Buhari. Bwana Buhari amekuwa akipokea matibabu ya ugonjwa ambao haujulikani mjini London tangu mwezi Mei, ambayo ni ziara ya pili anafan… Read More

0 comments:

Post a Comment