Thursday, 4 June 2015

Moto waua watu 96 Accra Ghana…!!!



 
Mlipuko wa moto katika kituo cha mafuta, Accra Ghana umeua watu 96 na uchunguzi zaidi unaendelea.

Polisi wamezungushia uzio eneo hilo kwa sababu za usalama zaidi na kuchunguza idadi kamili ya watu waliopata madhara kutokana na mlipuko huo wa moto na kubaini chanzo chake.
Hata hivyo mlipuko huo uliotokea baada ya mvua kubwa iliyosababisha mafuriko ya maji katika maeneo mengi ya mji wa Accra.
Baadhi ya maeneo hayana umeme kutokana na kukatika kwa umeme,baadhi ya barabara hazipitiki kutokana na mafuriko hayo.

Related Posts:

  • MBEGU ZA KIUME ZENYE UKIMWI KUSAFISHWA NCHINI..! Wanaume wanaoishi na virusi vya Ukimwi sasa huenda wakapata suluhisho, la kupata watoto na wenza wao ambao hawana virusi hivyo, baada ya kuwapo tiba ya kusafisha mbegu za kiume zenye VVU hapa nchini. Tiba hiyo sasa inap… Read More
  • JELA MIAKA 30 KWA KUFANYA NGONO NA BINTI YAKE..! Mkazi wa Njiapanda ya Himo mkoani Kilimanjaro Daniel Mshana (41), amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na kosa la kufanya ngono na binti yake wa kumzaa. Suala hilo liligunduliwa na walimu katika s… Read More
  • WACHINA WAONGOZA KUINGIA TZ KINYUME CHA SHERIA.! Raia wa China wameelezwa kuongoza kuingia nchini kinyume cha sheria, katika kipindi cha miezi minne (Januari mpaka Aprili) wakifuatiwa na Waethiopia. Naibu Kamishna wa Uhamiaji Divisheni ya Usimamizi na Udhibiti wa M… Read More
  • WALIOTAPELI SH 62 BILIONI UINGEREZA WASAKWA DAR… Shirika la Kimataifa la Polisi linawasaka raia wawili wa Scotland, wanaodaiwa kukimbilia Tanzania baada ya kufanya udanganyifu na kujipatia Paundi 20 milioni za Uingereza (sawa na Sh62 bilioni). Wawili hao Gareth J… Read More
  • MTOTO MZITO ZAIDI AZALIWA INDIA…!!! Mwanamke mmoja nchini India amejifungua mtoto wa uzani wa kilo 6.8, ambaye madaktari wanasema huenda akawa mtoto mwenye uzani wa juu zaidi kuwahi kuzaliwa nchini humo. Mtoto huyo ana uzani sawa na mtoto wa umri wa mi… Read More

0 comments:

Post a Comment