Monday, 7 September 2015

Utafiti kuchunguza jinsi mtu anavyozeeka……

Vipimo mbalimbali pia huchukuliwa
Wanasayansi mjini London wamegundua utafiti mpya,wa kuchunguza utaratibu wa jinsi 
mtu anavyo zeeka.
Unaangalia tabia ya zaidi mamia ya vinasaba vya damu, ubongo na seli za misuli.
Wanasayansi hao wameambatanaisha matokeo ya watu wenye afya nzuri walio na umri wa miaka 63 na zile za vijana, kutengeneza mpagilio wa kufuatilia ili kuweza kuzeeka kwa afya zaidi.
Wanasayansi hao pia wamegundua katika baadhi ya kesi, watu huzeeka kwa zaidi ya miaka 15 na umri wao halisi.
Wanasema urafiti huo utasiaidia kugundua watu walio kwenye hatari ya kupata magonjwa.


Related Posts:

  • MTOTO ALIYEZALIWA MOYO UKIWA NJE AFARIKI…!! Mtoto aliyezaliwa katika hospitali ya wilaya ya Meru mkoani Arusha akiwa na tatizo la moyo kuwa nje amefariki dunia. Mganga mkuu wa wilaya Meru Dr Ukio Boniface, amesema mtoto huyo alizaliwa tarehe tisa na tatizo hilo… Read More
  • UTAFITI: WASIOFANYA ZOEZI HUZEEKA HARAKA..!! Ukosefu wa mazoezi kwa wale walio na umri wa kadri, huzeesha akili na mwili utafiti umesema. Ukosefu wa mazoezi kwa watu walio na umri wa miaka 40, uhusishwa na ubongo wenye ukubwa wa size 60 kulingana na utafiti nchini… Read More
  • SERIKALI YAAPA KUPAMBANA NA WANAOUZA UNGA…!! Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Charles kitwanga, amesema atapambana wauzaji wa dawa za kulevya, bila kujali ukubwa wa mtu ambaye anajihusisha na boasahara hiyo haramu. Akizungumza wakati wa kupokea vifaa vya kurahisis… Read More
  • AJALI YAUA 11 TANGA, YAJERUHI 29..! Watu 11 wamefariki dunia leo huku wengine 29 wamejeruhiwa, baada ya Basi la Simba Mtoto kugongana uso kwa uso na lori katika kijiji cha Pangamlima wiliyani Muheza. Kamanda wa polisi Mkoani Tanga Mihayo Msikhela, amethi… Read More
  • INDIA YAZINDUA BUNDUKI NYEPESI DUNIANI…. Miaka miwili baada ya India kuzindua Nirb heek bunduki inayodaiwa kuwa ya kwanza ya wanawake, kiwanda cha kutengeza silaha cha taifa hilo kimezindua bunduki kama hiyo na kusema ndio bunduki nyepesi zaidi duniani. Bunduk… Read More

0 comments:

Post a Comment