Tuesday, 8 September 2015

Vifo vinavyotokana na nyoka kuongezeka….?

Shirika la kimataifa la misaada Medecins Sans Frontieres,limeonya kwamba vifo vitokanavyo na kuumwa na nyoka huenda vikaongezeka.
Hali hii inasababishwa na kuisha kwa akiba za dawa inayotibu sumu ya nyoka.

Inadhaniwa kwamba watu laki moja huuawa na nyoka kila mwaka.

Related Posts:

  • ALIYEJARIBU KUUZA MWANAWE AHUKUMIWA MIAKA 5…!! Mahakama moja nchini Afrika kusini imemhukumu mwanamke mmoja kifungo cha miaka 5, kwa kujaribu kumuuza mwanawe kupitia mtandao wa kuuza na kununua wa Gumtree. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 20 atatumikia kifungo cha… Read More
  • HALI YA HATARI YATANGAZWA CANADA…. Gavana wa jimbo la Alberta nchini Canada, ametangaza hali ya hatari wakati moto mkubwa wa msituni unapoteketeza maeneo ya mji wa Fort McMurray. Maafisa wanasema kuwa nyumba elfu 1 mia 6 na majengo mengine yameharibiwa n… Read More
  • BANGI KUWATIBU WAGONJWA UJERUMANI…!! Mahakama moja nchini Afrika kusini imemhukumu mwanamke mmoja kifungo cha miaka 5,kwa kujaribu kumuuza mwanawe kupitia mtandao wa kuuza na kununua wa Gumtree. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 20 atatumikia kifungo c… Read More
  • SERIKALI YAMFUNGIA SNURA, WIMBO WA CHURA…!! Wizara ya Habari, utamaduni, sanaa na michezo imefungia video na wimbo wa "chura" ulioimbwa na msanii Snura Mushi. Msanii huyo pia amefungiwa kufanya maonyesho ya wazi kwa sababu imebainika kwamba hana kibali kutoka Bas… Read More
  • UANDISHI WA HABARI KAZI HATARI DUNIANI..!! Kazi ya uandishi wa habari inaendelea kuonekana ni ya hatari zaidi duniani, baada ya utafiti uliofanyika mwaka jana pekee, kubaini jumla ya waandishi mia 1 na 10 waliuawa. Utafiti wa mwaka jana umebainisha kuwa kat… Read More

0 comments:

Post a Comment