Friday, 14 August 2015

Fidel Castro aandika barua ya wazi Cuba…

Rais wa zamani wa Cuba Fidel Castro ametimiza umri wa miaka 89 kwa kuandika barua ya wazi kwa taifa lake.

Barua hiyo ilichapishwa katika gazeti la serikali la Granma,ambapo hajazungumzia lolote kuhusu ufunguzi wa ubalozi mpya wa Marekani jijini Havana,utakavyofanya kazi na waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry.
Badala yake ameituhumu Marekani kwa kuisababishia hasara ya mamilioni ya dola,baada ya miaka mingi ya vikwazo vya biashara baina ya nchi hizo mbili.

Lakini amezungumzia maridhiano ya kihistoria kati ya nchi yake na Marekani.

Related Posts:

  • MAHAKAMA KUJADILI MAPENZI YA JINSIA MOJA INDIA..! Mahakama ya India imekubali kusikiliza kesi ya kutaka kubatilisha sheria ya kikoloni, ambayo inaharamisha mapenzi ya jinsia moja. Swala hilo sasa limewasilishwa mbele ya mahakama ya majaji watano,hatua ambayo inaoneka… Read More
  • WAJAWAZITO KUKOSA OLIMPIKI BRAZIL..!! Wanawake wajawazito wameshauriwa kutosafiri kwenda Brazil kushuhudia mashindano ya Olimpiki mwaka 2016 kwa sababu ya hatari ya virusi vya Zika. Serikali ya Brazil imesema kuwa hawashauri wanawake wajawazito kwenda kweny… Read More
  • TAI KUTEKA NDEGE ZISIZOKUWA NA RUBANI UHOLANZI..!! Maafisa wa polisi nchini Uholanzi, wameanza kuwafunza tai kuteka ndege zisizokuwa na rubani zikiwa angani. Katika video moja iliyochapishwa kwenye mtandao, Tai anaonekana akiitwaa ndege moja isiyokuwa na rubani kwa ma… Read More
  • SELFIE YAMSABABISHIA KIFO..!! Kijana mmoja wa miaka 16 amegongwa na treni ya abiria na kufariki nchini India, wakati akijipiga selfie mbele ya treni. Story ni kwamba alisimama kwenye reli akisubiri treni ifike karibu zaidi ili apige selfie. Ripo… Read More
  • UGANDA YAZINDUA BASI LINALOTUMIA UMEME WA JUA..! Basi linalotumia umeme wa nguvu za jua ambalo watengezaji wake toka Uganda wanadai kuwa la kwanza barani Afrika, limeendeshwa hadharani. Basi hilo la kielektroniki aina ya Kayoola linalomilikiwa na kampuni ya Kiira Moto… Read More

0 comments:

Post a Comment