GARI LAANGUKA KATIKA PAA LA NYUMBA CHINA...
Gari
moja lilipoteza mwelekeo katika mji wa Taizhou uliopo mashariki mwa China, kuteleza
barabarani na kuanguka katika paa la nyumba.
Dereva wake alisema kuwa
alijaribu kuzuia ajali ya ana kwa ana na bahati mbaya akakan…Read More
VIDEO MPYA: HAMORAPA FT NATURE -KIBOKO YA MABISHOO
Kutoka kwenye kiwanda
cha mziki wa Bongofleva leo March 11
2016 Hamorapa ametuletea
video ya mdundo wake mpya ‘Kiboko
ya mabisho‘ ambao amemshirikisha mkali wa longtime kwenye
game ya Bongofleva Juma…Read More
TANZANIA NI NCHI YA MWISHO ULAJI NYAMA A. MASHARIKI…
Pamoja na kwamba Tanzania
ni moja ya nchi zenye mifugo mingi barani Afrika, watanzania wanakula nyama kwa
kiwango kidogo ikilinganishwa na nchi nyingine za Afrika ya Mashariki.
Mtanzania anakula kilo 15 kwa mwaka, wakat…Read More
MFANYIKAZI WA JELA AFUNGWA KWA KUWA NA UHUSIANO NA MFUNGWA…..
Mwalimu
mmoja wa jela ambaye alimpiga busu mbali na kumtumia barua za mapenzi mfungwa
aliyeua amefungwa kwa makosa ya ukosefu wa nidhamu katika afisi ya uma.
Sian
Doherty mwenye umri wa miaka 24 alikutana na Michael D…Read More
0 comments:
Post a Comment