Tuesday, 26 May 2015

Papa Francis: Sijatazama Tv kwa miaka 25..!!!

Papa Francis
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, amesema kuwa hajawahi kutazama runinga kwa miaka 25 sasa.

Papa Prancis ambaye amewatamausha wachanganuzi wa kanisa hilo kwa kususia maisha ya kifahari katika makao makuu ya kanisa Vatican alisema alitizama runinga mara ya mwisho tarehe 15 mwezi julai mwaka wa 1990.
Alikoma kutizama runinga baada ya kumuahidi maria mtakatifu kuwa angekoma kushiriki uraibu huo.
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, amesema kuwa hajawahi kutizama runinga kwa miaka 25 sasa.

Isitoshe raia huyo wa Argentina amesema kuwa hatumii mtandao wa intaneti.
Na akitaka kupata habari za kimataifa , Papa anasema kuwa huwa anatenga dakika 10 tu ya muda wake kusoma gazeti la kiitaliano.
Papa Francis vilevile anafuatilia habari za klabu yake maarufu huko Argentina kupitia kwa wahudumu wake ambao humsimulia yanayojiri.
Je unaweza kukaa mbali na Runinga yako Simu yako ama mtandao wa Intanet japo kwa siku moja ?

Related Posts:

  • KWA UDANGANYIFU KWENYE MITIHANI.. Mahakama ya Juu nchini India imefuta leseni za madaktari 634 ambao wamejipata kwenye sakata ya wanafunzi kutumia udanganyifu kujiunga na vyuo vya mafunzo ya udaktari katika jimbo la Madhya Pradesh. Mamia ya wanafunzi,… Read More
  • AMUUA MFANYAKAZI AKIDHANI NI NGIRI AFRIKA KUSINI.. Watu nchini Afrika Kusini wamegadhabishwa, kufuatia taarifa za mwanamme mmoja, ambaye analaumiwa kwa kumuua kwa kumpiga risasi mfanyakazi wa shamba, akidhani kuwa mtu huyo ni ngiri. Stephen Hepburn alifikishwa mahakaman… Read More
  • Video: Mwaki ft G Van-Nishike Mkono Msanii wa muziki, Mwaki ambaye ni mlemavu wa macho, ameachia video ya wimbo wake ‘Nishike Mkono’ akiwa amemshirikisha G Van. Video ya wimbo huyo imeongozwa na director Flex Montage for Urban Motion Films … Read More
  • MAHARUSI WALIOTUMIA DOLA PEKEE WAANDALIWA HARUSI YA KIFAHARI KENYA Maharusi waliowasisimua wengi baada ya kutumia Sh100 pekee za Kenya kugharimia harusi, wameandaliwa sherehe ya harusi ya kufana jijini Nairobi. Sherehe hiyo ya marudio imeandaliwa katika bustani ya Eden Bliss, Nairobi u… Read More
  • PLAYBOY KUCHAPISHA TENA PICHA ZA UTUPU.. Jarida la Playboy limetangaza kwamba litaanza kuchapisha tena picha za utupu, na kubatilisha uamuzi wa awali uliotolewa mwishoni mwa mwaka jana. Hatua ya sasa imetangazwa na afisa mkuu mpya wa ubunifu katika jarida hilo … Read More

0 comments:

Post a Comment