MKUU MPYA WA FBI APATIKANA……
Bunge la Seneti nchini Marekani limepiga kura ya kuthibitishwa Bwana Christopher Wray kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kijasusi la Marekani la FBI.
Nafasi hiyo ilikuwa wazi tangu James Comey alipotimuliwa na Rais Dona…Read More
KAMPUNI YA CHINA YASHTAKIWA KWA KUCHAFUA MAZINGIRA GAMBIA…..
Wanamazingira
kutoka miji midogo ya pwani nchini Gambia wameipeleka kampuni moja ya China
mahakamani kwa madai ya kutupa takataka za sumu kwenye bahari.
Hatua
hiyo inakuja baada ya serikali kukubaliana nje ya mahakama n…Read More
RAIS MUSEVENI: SIJAUGUWA KWA MIAKA 31
Mara nyingi
kumekuwa na ripoti za kuugua kwa marais, hasa rais wa Nigeria Muhammadu Buhari.
Bwana Buhari amekuwa akipokea matibabu ya ugonjwa ambao
haujulikani mjini London tangu mwezi Mei, ambayo ni ziara ya pili anafan…Read More
AMUUA MUMEWE KISA AMEWAHI KUINGIA BAFUNI...
Mgini Aron 37 mkazi wa Magunga Wilaya ya Butiama Mkoani
Mara, amefariki dunia baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali na mkewe Jeni
Mwenda 25, kwa sababu ya wivu wa mapenzi.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisin…Read More
BIBI HARUSI AJARIBU KUMUUA MUMEWE BAADA YA NDOA
Bibi harusi katika jimbo la Tennessee
nchini Marekani, ametiwa nguvuni baada ya polisi kusema kuwa alitoa bunduki
kwenye gauni lake la harusi na kumtishia mumewe saa chache tu baada ya kufunga
ndoa.
Kate
Elizabeth Prich…Read More
0 comments:
Post a Comment