Thursday, 14 May 2015



Zijue faida za Papai kwa afya na pia kama Tiba pata nakala yako ya gazeti la TABIBU wiki hii likiwa limesheheni habari za afya kwa bei ya sh. 500/= tu
TFF ,CRDB tuwaweke kilingeni watupe majibu. Usikose gazeti la TABIBU wiki hii kuna habari za kusisimua za michezo na burudani.


Related Posts:

  • Kuhusu vurungu alizofanyiwa Rais Jacob Zuma bungeni..!! Rais Jacob Zuma Tarehe 19 June mwaka huu Bunge la South Africa liliingia kwenye headlines katika vyombo vya habari pamoja na mitandao ya kijamii baada ya baadhi ya viongozi kutoka chama cha upinzani ku… Read More
  • Maji ya ATM yazinduliwa nchini Kenya…… Wakazi wa kitongoji duni cha Mathare katika mji mkuu wa Kenya Nairobi, sasa wanaweza kupata maji safi ya kunywa na kwa matumizi mengine. Mpango unaoungwa mkono na serikali umezinduliwa kwenye mji mkuu wa Kenya Nairobi, u… Read More
  • Sherehe za nyama ya mbwa zaanza Uchina….! Sherehe ya kula nyama ya mbwa kusini magharibi mwa China,imeanza huku kukiwa na pingamizi miongoni mwa wanaharakati wa haki za wanyama. Takriban mbwa 10,000 watachinjwa na nyama yao kuliwa katika sherehe hizo,zitakazofany… Read More
  • Bunge la Afghanistan lashambuliwa…… Bunge Afghanistan Ripoti zinasema kuwa kumetokea mlipuko mkubwa karibu na bunge la Afghanistan huko KabulPicha za runinga zinaonyesha wabunge wakikimbilia usalama wao. Zipo ripoti zinazosema kuwa watu waliokuwa na bunduk… Read More
  • Waendesha boda boda hatarini kuwa wagumba…!!! Madereva wa kiume wa pikipiki maarufu kama bodaboda na wengine wanaotumia usafiri huo kwa muda mrefu wapo katika hatari ya kuwa wagumba. Tafiti nyingine zilizofanywa zinazonyesha kuwa huenda wakakabiliwa na uhaba wa mb… Read More

0 comments:

Post a Comment