MAELFU WAANDAMANA NORTH CAROLINA….
Maelfu ya waandamanaji wamesafirishwa kwa mabasi hadi
katika mji mkuu wa jimbo la North Carolina nchini Marekani ili kufanya
maandamano.
Waandamanaji hao wameenda ili kuunga mkono na wengine kupinga
sheria mpya ya kit…Read More
WAKATI BORA WA KUPEWA CHANJO YA HOMA…
Na utafiti nchini Uingereza unaonesha kuwa, chanjo ya
homa ni bora zaidi iwapo mtu atapewa majira ya asubuhi badala ya alasiri.
Watafiti wamebaini kuwa uwezo wa
mwili wa mtu una nguvu mno kuwa na matoke bora iwapo mtu a…Read More
MKE WA KIBAKI AFARIKI……
Mke wa Rais mstaafu wa Kenya Mwai Kibaki Lucy Kibaki,
amefariki dunia leo jijini London, Uingereza alipokuwa akipatiwa matibabu.
Kwa mujibu wa taarifa ya Rais
Uhuru Kenyatta, Lucy Kibaki amefariki katika hospitali ya …Read More
JENERALI WA JESHI NA MKEWE WAUAWA BURUNDI..!!
Afisa
mkuu wa jeshi la Burundi ameuawa pamoja na mkewe, baada ya kushambuliwa na watu
wasiojulikana mjini Bujumbura.
Jenerali Athanase Kararuza na
mkewe wameuawa wakiwapeleka watoto wao shuleni, afisa mmoja wa usalam…Read More
MVULANA WA MIAKA 16 ASHTAKIWA UGAIDI AUSTRALIA..!
Polisi nchini Australia wamemshtaki mvulana mwenye umri
wa miaka 16, ambaye anasemekana
alikuwa akipanga kutekeleza shambulio katika
siku kuu ya wanajeshi wastaafu wa nchi hiyo.
Mvulana huyo alitiwa mbaroni
nyum…Read More
0 comments:
Post a Comment