Wednesday, 20 May 2015

ANTENNA SHOW YA J4 MAY 19 2015 RADIO 5..

Sikiliza kipindi chako bomba cha Antenna kila juma tatu mpaka ijumaa kuanzia saa kumi jion mpaka kumi na mbili na nusu jioni,kwa habari,mijadala,michezo buradini n.k.

Ungana na Team Antenna Kiwa strong,wnde mpembwa na Dj Ibra katika show hii haliiiiiii..!!!
Bonyesha play hapa chini kusikiliza kiduchu show ya jana ilivyokwenda kwa hewaaaaa.



Related Posts:

  • AMUUA MFANYAKAZI AKIDHANI NI NGIRI AFRIKA KUSINI.. Watu nchini Afrika Kusini wamegadhabishwa, kufuatia taarifa za mwanamme mmoja, ambaye analaumiwa kwa kumuua kwa kumpiga risasi mfanyakazi wa shamba, akidhani kuwa mtu huyo ni ngiri. Stephen Hepburn alifikishwa mahakaman… Read More
  • MAREKANI YASEMA KOREA YA KASKAZINI NI TATIZO.. Rais wa Marekani, Donald Trump ameizungumzia Korea ya Kaskazini baada ya kitendo chake cha hivi karibuni cha kurusha kombora lenye uwezo wa kubeba silaha za kinyuklia kwamba nchi hiyo ni hatari kwa usalama wa dunia. Tru… Read More
  • Video: Mwaki ft G Van-Nishike Mkono Msanii wa muziki, Mwaki ambaye ni mlemavu wa macho, ameachia video ya wimbo wake ‘Nishike Mkono’ akiwa amemshirikisha G Van. Video ya wimbo huyo imeongozwa na director Flex Montage for Urban Motion Films … Read More
  • MGODI MWINGINE WAPOROMOKA MARA.. Takribani mwezi mmoja sasa tangu wachimbaji 15 wafukiwe na kifusi Nyarugusiu Wilayani Geita, balaa jingine la aina hiyo limetokea wilayani Butiama mkoani Mara, katika mgodi wa Buhemba ambapo watu 11 wameokolewa shimoni … Read More
  • MAHARUSI WALIOTUMIA DOLA PEKEE WAANDALIWA HARUSI YA KIFAHARI KENYA Maharusi waliowasisimua wengi baada ya kutumia Sh100 pekee za Kenya kugharimia harusi, wameandaliwa sherehe ya harusi ya kufana jijini Nairobi. Sherehe hiyo ya marudio imeandaliwa katika bustani ya Eden Bliss, Nairobi u… Read More

0 comments:

Post a Comment