Monday 11 May 2015

Hizi ndizo story zilizoko kwenye Headlines leo May 11 TZ:


JWTZ wanasubiri kupokea miili ya wanajeshi waliofariki DRC Congo, Waziri Mkuu Pinda atakabidhiwa ripoti ya maafa ya mvua Dar leo, Kafulila ameapa kuibua ishu ya ESCROW upya, anaituhumu Ikulu kuwasafisha watuhumiwa.

Kasi ya wakimbizi kuingia kutoka Burundi imeongezeka, Kigogo agawa fedha kumhujumu Rais JK, wafuasi wa Lowassa wamesema jina lake likikatwa kwenye Urais patachimbika, mtoto mmoja amesafirishwa ndani ya begi toka Morroco mpaka Spain, Polisi wamkuta akiwa kwenye hali mbaya.
Stori nyingine inahusu Mbunge Tundu Lissu kumtaja Dk. Slaa kuwa ndiye Rais ajaye kupitia UKAWA, Kikao cha Bunge kuanza kesho Dodoma.


0 comments:

Post a Comment