Friday 29 April 2016

COLOMBIA YAHALALISHA NDOA ZA JINSIA MOJA…!

Mahakama ya juu zaidi nchini Colombia, imehalalisha rasmi ndoa za wapenzi wa
jinsia moja nchini humo.

Hatua hiyo inaifanya Colombia kuwa taifa la nne kuhalalisha ndoa hizo katika mataifa ya Kilatino, Amerika Kusini.

Taifa jingine ambalo ndoa za jinsia moja zinaruhusiwa ni Ireland ambalo raia wake walipiga kura kwa wingi kuhalalisha ndoa za wapenzi wa jinsia moja tarehe 23 may 2015.

0 comments:

Post a Comment