Thursday, 6 July 2017

WATU 80 WAFARIKI KATIKA AJALI CAR……

Ajali ya lorry moja la mizigo huko Jamhuri ya Afrika ya kati CAR imesababisha vifo vya zaidi ya watu 80, wengi wakiwa wachuuzi waliokuwa wakielekea sokoni mjini Bambari.

Walioshuhudia tukio hilo wamesema lorry hilo lilikuwa limebeba watu wengi na kujazwa mizigo kupindukia huku likiendeshwa kwa mwendo wa kasi wakati lilipopenduka.
Maafisa wa tarifiki wamelaumiwa kwa kutochukua hatua kuzuia ukiukwaji huo wa sheria za barabarani

Related Posts:

  • KISIWA CHASHINDA SHINDANO LA UKWEAJI MNAZI Kisiwa cha Cook ndio bingwa duniani wa shindano la ukweaji minazi imeripotiwa. George Iona aliibuka mshindi katika shindano lillilokuwa na wawaniaji 16,akishinda kwa uchache kulingana na idhaa ya redio ya Tahiti. Aliup… Read More
  • AJUZA WA MIAKA 86 ASHTAKIWA KWA WIZI…. Ajuza wa miaka 86 anayejulikana sana kwa wizi wa vito tangu miaka ya 50 ameshtakiwa kwa wizi. Doris Payne alikamatwa katika duka moja katika eneo la Chamblee mjini Georgia kwa wizi wa vito vyenye thamani ya dola 86 kulin… Read More
  • MBUNGE ANAYEMKOSOA ZUMA KULINDWA…. Mkosoaji mashuhuri wa rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma, atapewa ulinzi wa polisi baada ya kupokea vitisho vya kuuliwa. Bunge na polisi walifanya uchunguzi na kubaini kuwa kuna vitisho vya kuuliwa dhidi ya Makhosi Khoza … Read More
  • MAMAKE ZARI HASSAN AAGA DUNIA….. Zari Hassan anaomboleza kifo cha mamake miezi miwili tu baada ya kumzika aliyekuwa mumewe Ivan Ssemwanga. Kulingana na gazeti la daily nation nchini Kenya. Mfanyibiashara huyo ambaye ni mke wa msanii wa bongo Diamond Pl… Read More
  • RAILA: AWAOMBA WAFUASI WAKE KUTOSHIRIKI NGONO MKESHA WA UCHAGUZI… Mgombea wa urais katika muungano wa NASA nchini Kenya Raila Odinga amewataka wafuasi wake kutoshiriki tendo la ndoa mkesha wa siku ya uchaguzi. Bwana Odinga amefananisha uchaguzi huo na vita akisema kuwa kushiriki ngono… Read More

0 comments:

Post a Comment