Thursday, 27 July 2017

POLISI WAKAMATA WANACHAMA WA DHEHEBU HARAMU CHINA...

Polisi nchini China wamewakamata wanachama 18 wa dhehebu lililopigwa marufukua.

Baadhi ya wanachama wa kundi hilo ni maarufu kwa kumpiga mwanamke hadi kufa kwenye duka la McDonald mwaka 2014, baada ya mwanamke huyo kukataaa kuwapa namba yake ya simu.
Dhehebu hilo linalofahamika kama Church of Almighty God lilianzishwa miaka ya 1990 na linadai kuwa Yesu alirudi duniani kama mwanamke nchini China.
Serikali ya China mara kwa mara huvamia madhehebu na kuwakamata wanachama wengi kwa miaka kadhaa.
Wakati wa kuwakamata polisi pia walichukua komputa na vitabu vinavyotumiwa na dhehebu hilo.
Imani ya dhehebu hilo ni kuwa Yesu alirudi duniani kama mwanamke.

Mtu pekee anayedai kuwasiliana na mwanamke huyo ni mwalimu wa zamani Zhao Weishan, ambaye alilianzisha miaka 25 iliyopita na sasa ametorokea Marekani.

Related Posts:

  • MAREKANI: TUTATUMIA NGUVU ZA KIJESHI DHIDI YA KOREA KASKAZINI... Marekani imesema kuwa itatumia nguvu za kijeshi dhidi ya Korea Kaskazini ''iwapo ni lazima'' kufuatia jaribio la kombora la masafa marefu lilotekelezwa na taifa hilo. Balozi wa Marekani Nikki Haley alisema kuwa maamuzi m… Read More
  • FAO: IDADI YA WATU WALIOATHIRIWA NA NJAA ITAONGEZEKA… Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limesema kuwa, watu milioni 20 wanasumbuliwa na njaa na utapiamlo lote duniani. Mkurugenzi Mkuu wa FAO, José Graziano da Silva ambaye alikuwa akihutubia mkut… Read More
  • WATU 80 WAFARIKI KATIKA AJALI CAR…… Ajali ya lorry moja la mizigo huko Jamhuri ya Afrika ya kati CAR imesababisha vifo vya zaidi ya watu 80, wengi wakiwa wachuuzi waliokuwa wakielekea sokoni mjini Bambari. Walioshuhudia tukio hilo wamesema lorry hilo lilik… Read More
  • AMUUA MPENZIWE KWA ''MZAHA”…. Mwanamke mmoja mjini Minesesotta nchini Marekani amehukumiwa kwa kumpiga risasi na kumuua mpenzi wake katika kile kinachosemekana ni mgogoro wa mtandaoni. Monalisa Perez mwenye umri wa miaka 19 aliwekwa kizuizini baad… Read More
  • RAIS WA ZAMBIA ATANGAZA HALI YA DHARURA... Rais wa Zambia Edgar Lungu ametangaza hali ya dharura nchini humo kutokana na moto mkubwa uliyotekteza soko kuu la mjini Lusaka. Moto huo pamoja na visa vingine kama hivyo unadhaniwa kuanzishwa kwa maksudi na rais Lungu… Read More

0 comments:

Post a Comment