Tuesday, 25 July 2017

CHINA KUZINDUA MTANDAO USIODUKULIWA….

Wakati udukuzi wa mitandao wanapoendesha udukuzi zaidi, China inatarajiwa kuzindua mtandao usiodukuliwa ikimaanisha kuwa itakuwa rahis kugundua kabla ya wadukuzi kuingia.

Mradi huo wa kichina katika mji wa Jinan na unautumia teknolji inayofahamika kama Quantum, unajawa kuwa hatua kubwa na vyombo vya habari vya nchi hiyo.
Mradi huo pia ni ishara tosha kuwa China inachukua wajibu mkuwa katika masuala ya teknolojia ambayo kwa miaka mingi yametawaliwa na nchi za magharibi.
Kupitia mtandao huo wa Jinan watumiaji 200 kutoka jeshi, serikali, sekta ya fedha na kawi wataweza kutuma ujumbe kwa njia salama.

Hatua hii inamaana kuwa China inachukua hatua kubwa kuhakikisha kuwa mitandao imekuwa salama. Sasa hunda nchi zingine zikanunua teknolojia hii kutoka China.

Related Posts:

  • CHINA KUZINDUA MTANDAO USIODUKULIWA…. Wakati udukuzi wa mitandao wanapoendesha udukuzi zaidi, China inatarajiwa kuzindua mtandao usiodukuliwa ikimaanisha kuwa itakuwa rahis kugundua kabla ya wadukuzi kuingia. Mradi huo wa kichina katika mji wa Jinan na unau… Read More
  • BETRI KUBWA ZAIDI DUNIANI KUUNDWA.. Betri kubwa zaidi ya lithium duniani itaundwa na kuwekwa nchini Australia, kupitia makubaliano kati ya kampuni inayounda magari ya kutumia umeme ya Tesla na kampuni ya kawi ya Australia Neoen. Betri hiyo inatarajiwa kul… Read More
  • UNAWEZA KUSAFIRI UKITUMIA NDEGE ISIYO NA RUBANI....? Hilo ndilo swali mamilioni ya watu huenda wakajiuliza siku za usoni ikiwa wanataka kusafiri kwenda likizo kote duniani. Tunaposogea karibu na kutumia magari yasiyokuwa na dereva, ambayo tayari yameingia barabarani katika… Read More
  • FACEBOOK KUJA NA RUNINGA YA MTANDAONI.. Kampuni kubwa zaidi ya mitandao ya kijamii duniani Facebook, inatarajia kuanza kutoa huduma ya video itakayokuwa ikiitwa ”watch” ama tazama. Facebook inasema kwamba imewekeza mamilioni ya dola katika kuufanya mfumo hu… Read More
  • SAMSUNG WAZINDUA TOLEO JIPYA LA GALAXY… Kampuni ya simu za mkononi ya Sumsung, imezindua simu yake mpya ya Galaxy Note 8, ambayo ni ya kisasa zaidi na yenye ushindaji zaidi katika soko. Hatua hii inakuja baada ya kampuni hii kupata msukosuko wa kibiashara i… Read More

0 comments:

Post a Comment