Wednesday 17 February 2016

WATAKA ASKARI WAUAJI WAFUNGWE MAISHA…!!

Mashirika ya kutetea haki za binaadamu nchini Kenya, yamelaani na kutangaza kutoridhishwa na
hukumu iliyotolewa dhidi ya askari wawili waliohusika na mauaji ya mtoto mmoja nchini humo.

Kwa mujibu wa hukumu hiyo askari hao wamefungwa miaka saba, badala ya kifungo cha maisha.


Nimekuwekea hapa chini ripoti ya mwandishi Seifullah Murtadha wa mjini Mombasa nchini humo bonyeza play kusikia tarifa zaidi.

0 comments:

Post a Comment