Tuesday 2 February 2016

SELFIE YAMSABABISHIA KIFO..!!


Kijana mmoja wa miaka 16 amegongwa na treni ya abiria na kufariki nchini India, wakati akijipiga selfie mbele ya treni.


Story ni kwamba alisimama kwenye reli akisubiri treni ifike karibu zaidi ili apige selfie.
Ripoti ya ajali zilizotokana na ‘selfie’ inaonesha mwaka 2015 watu 27 walifariki dunia kwa kujitega ili wajipige selfie,na nusu ya watu hao waliofariki ni raia wa India.

Hali hiyo ikafikia wakati wakayataja maeneo 16 ambayo ni marufuku watu kujiga selfie nchini humo.

0 comments:

Post a Comment