Monday, 29 February 2016

MJI WA INDIA WAPIGA MARUFUKU FILAMU…!

Mji wa kaskazini mwa India Aligarh, umepiga marufuku filamu mpya yenye jina la mji huo kuoneshwa huko, kwa sababu inahusu mapenzi ya jinsia moja.

Meya wa mji huo Shakuntala Bharti amesema jina la filamu linafaa kubadilishwa, kwa sababu linahusisha mji huo na mapenzi ya jinsia moja, na hivo kama alivosema inautusi mji.
Filamu hiyo inahusu maisha ya profesa wa chuo kikuu, ambaye alisimamishwa kazi kwa sababu alifanya mapenzi ya jinsia moja na baadaye alijiuwa.

Aliyetengeneza filamu hiyo Hansal Mehta amesema kuwa, malalamiko yanayofanywa ni chuki dhidi ya wapenzi wa jinsia moja.

Related Posts:

  • Watoto waliwa na fisi, wafa… Watoto wawili wenye umri wa kati ya miaka miwili na mitano wameuawa na fisi katika Kijiji cha Mnkola, Kata ya Ibihwa wilayani Bahi Mkoa wa Dodoma katika matukio mawili tofauti. Mwenyekiti wa Kitongoji cha Teya Kata ya Il… Read More
  • AU yajiweka kando uchaguzi wa Burundi…… Makao makuu ya Umoja wa Afrika, Addis Ababa,Ethiopia Umoja wa Afrika umesema hautawapeleka waangalizi wake wa uchaguzi katika uchaguzi wa wabunge wa Burundi, unaofanyika leo kwa sababu masharti ya uchaguzi huru na wa haki… Read More
  • Mfungwa aliyetoroka New York akamatwa.. David Sweat aliyekamatwa baada ya kutoroka gerezani katika jimbo la New York alikokuwa akitumikia adhabu ya kifungo kutokana na makosa ya mauaji Polisi nchini Marekani wamempiga risasi na kumkamata mfungwa aliyetoroka gerez… Read More
  • Mtu mmoja amechinjwa Ufaransa……… Mtu mmoja amechinjwa UfaransaMtu mmoja amechinjwa na mwengine akajeruhiwa vibaya,baada ya shambulizi la kiislamu katika mji wa Lyon Ufaransa. Vilipuzi kadhaa vilitegwa katika karakana moja iliyoko Saint-Quentin-Fallavier … Read More
  • Facebook yafungua Ofisi Afrika kusini....!!! Kwa mara ya kwanza Facebook imefungua ofisi yake barani Afrika, Johannesburg nchini Afrika kusini ikiwa ndio makao makuu. Mwanadada Nunu Ntshingila ndie atakae ongoza ofisi hiyo itakayo jikita katika kutafuta njia mbali … Read More

0 comments:

Post a Comment