Tuesday, 15 March 2016

MHADHIRI ALIYEIGIZA FILAMU CHAFU UINGEREZA AJIUZULU…

Mhadhiri mmoja mashuhuri wa somo la kemia katika chuo kimoja kikuu nchini
Uingereza, amejiuzulu baada ya kugunduliwa kuwa amekuwa akiishi maisha mara mbili.
Amekuwa akifunza kama Profesa na vilevile kuigiza kisiri katika filamu za ngono.
Profesa Nicholas Goddard ambaye ana umri wa miaka 61, amekuwa akifunza katika Chuo Kikuu cha Manchester kwa miaka 25 na amechapisha vitabu na majarida kadhaa ya kimasomo.
Aligunduliwa na mmoja wa wanafunzi wake, baada ya kumtambua katika filamu moja ya uigizaji wa ngono.
Nicholas Goddard anasemekana kuwa alikuwa akiigiza kwa kutumia jina la utani Old Nick kwa zaidi ya miaka kumi.

Aliachana na uigizaji huo mwaka jana wa 2015.

Related Posts:

  • Bibi wa miaka 85 akamatwa kwa kuiba herein…….. Bibi kizee mmoja mwenye umri wa miaka 85 raia wa Marekani, na ambaye amekuwa akiiba vito vya thamani kwa zaidi ya miaka 60 amehukumiwa tena kwa kosa la wizi. Doris Payne anatuhumiwa kwa wizi wa herini ya thamani ya dol… Read More
  • Usikose nakala yako ya gazeti la TABIBU kesho alhamisi likiwa limesheheni habari kemkem za afya. Ni kwa bei ya sh. 500/= tu. TABIBU michezo wiki hii.!! … Read More
  • Je Aspirin inazuia kurejea kwa Saratani…..? Utafiti mkubwa na wa kwanza kubaini iwapo umezaji wa tembe za Aspirin kila siku unapunguza kwa kiwango kikubwa athari ya kurejea kwa saratani umeanza nchini Uingereza. Jaribio hilo litahusisha watu 11,000 wanaotibiwa a… Read More
  • Je wajua siri ya Mamba usingizini….? Wataalamu wa masuala ya wanyama wamegundua kwamba, mamba ana uwezo wa kulala huku jicho lake moja likiwa wazi. Utafiti huo ambao umewaacha wengi wakishangaa, kwani picha nyingi duniani huonyesha kuwa mamba hulala fofofo,… Read More
  • Filamu mpya ya Stars Wars yavunja rekodi… Filamu mpya ya Star Wars: The Force Awakens imevunja rekodi Uingereza kwa kuuza tikezi nyingi zaidi siku ya kwanza ya kuuzwa kwa tiketi. Tiketi hizo za mapema zilianza kuuzwa Jumanne, huku filamu hiyo ikitarajiwa kuto… Read More

0 comments:

Post a Comment