Wednesday 2 March 2016

BEI YA DIZELI, PETROLI, MAFUTA YA TAA YASHUKA

March 1 2016 Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji nchini (EWURA), ilitangaza bei mpya ya bidhaa za mafuta ya Petrol, Diesel na ya mafuta ya taa katika masoko yote ya jumla na rejareja.

Mafuta ya dizeli, petroli na mafuta ya taa, yamepungua bei na bei mpya zimeanza kutumika leo nchi nzima isipokuwa mkoa wa Tanga.
Akiongea na waandishi wa habari Dar es salaam Mkurugenzi wa huduma za nishati na maji EWURA Felix Ngamlagosi amesema haya yafuatayo,bonyeza Play hapo chini.

0 comments:

Post a Comment