Thursday, 17 March 2016

HII HAPA NGOMA MPYA YA SUGU:FREEDOM

Msanii Nguli wa mziki wa HIP HOP hapa nchini ambaye ni mbunge wa Mbeya Mjini kupitia tiketi ya CHADEMA Joseph Mbilinyi,ameachia wimbo wake mpya unaitwa FREEDOM baada ya kukaa kimya kwa kipindi kirefu.

Wimbo huo umefanyika katika studio za MJ chini ya mtayarishaji mahiri Marco Chali,unaweza kuusikiliza kwa kubonyeza play hapo chini.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment