Thursday, 31 March 2016

DARAJA LAPOROMOKA NA KUWAUA 10 INDIA…

Takriban watu 10 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa, baada ya daraja moja la juu lililokuwa likijengwa kuporomoka, kwenye mji wa mashariki mwa India wa Kolkata

Ripoti zingine zinasema kuwa karibu watu 150 huenda wamekwama chini ya vifusi vya daraja hilo,lililo eneo lenye shughuli nyingi.
Miradi ya ujenzi nchini India mara nyingi, imekumbwa na matatizo ya kiusalama na huporomoka mara kwa mara.

Wataalamu wanasema kuwa kuna ukosefu wa ukaguzi wa miradi, na matumizi ya vifaa duni katika ujenzi.

Related Posts:

  • MITSUBISHI YAKIRI MAKOSA KWA MAGARI YAKE… Kampuni ya kuunda magari ya Japan ya Mitsubishi, imekiri kufanya makosa kwa tamwimu za matumizi ya mafuta kwa zaidi ya magari 600,000. Mauzo ya hisa za kampuni hiyo yalifunga yakiwa yameshuka kwa asilimia 15 kutokana na… Read More
  • WAFANYAKAZI WA RADIO 5 WAPIGWA MSASA NA BBC MEDIA ACTION.... Wafanyakazi wa Radio 5 jijini A rusha wamepatiwa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kitaaluma ili waweze kuandika habari za kuboresha maisha ya jamii kwa kupata maendeleo kuelekea uchaguzi mkuu,mafunzo hayo yanaendeshwa na sh… Read More
  • Zijue faida za ajabu za kula karanga..! Wengi wetu huchukulia ulaji wa karanga kama chakula cha kujiburudisha na kisichokuwa na umuhimu sana katika afya ya mwili wa binadamu. Kiukweli karanga siyo chakula cha kupuuziwa iwapo utajua faida zake kama nitakavyokujuza… Read More
  • MALKIA ELIZABETH ATIMIZA MIAKA 90… Siku ya leo tarehe 21-4-2016 Malkia Elizabeth ametimiza miaka tisini ya kuzaliwa. Malkia atasheherekea siku hii kwa kukutana na wananchi wake katika matembezi atayafanya huko Windsor. Malkia Elizabeth ametawala kwa mu… Read More
  • VOLKSWAGEN KUNUNUA MAGARI YAKE..! Kampuni ya magari ya Volkswagen, imetangaza kuyanunua magari ya kampuni yake kutoka kwa wateja nchini Marekani yapatayo nusu milioni. Hii ni kama sehemu ya kutimiza makubaliano yaliyofikiwa na idara ya sheria ya Marek… Read More

0 comments:

Post a Comment