Wednesday, 30 March 2016

AJALI YA NDEGE YAWAUA WATU 7 CANADA…

Watu saba wamefariki baada ya ndege moja ya kibinafsi kuanguka, katika kisiwa cha mashariki ya pwani ya Quebek.

Mamlaka imesema kuwa ndege hiyo ilianguka ilipokuwa ikikaribia uwanja wa ndege wa Madeleine, huku kukiwa na upepo mkali pamoja na barafu.
Jean Lapierre aliyekuwa waziri wa uchukuzi nchini Canada pamoja na watu wa familia yake, walikuwa miongoni mwa waathiriwa.

Bwana Lapierre mwenye umri wa miaka 59 alifanya kazi kama mchanganuzi wa CTV, pamoja na vyombo vyengine vya habari.

Related Posts:

  • MHUBIRI ALIYEKUWA NA WAKE 86 AFARIKI NIGERIA.. Mhubiri mmoja wa zamani wa Kiislamu nchini Nigeria ambaye alikuwa na takriban wanawake 86 ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 93. Mohammed Bello Abubakar alifariki nyumbani kwake katika jimbo la Niger siku ya Jumamosi, … Read More
  • WAZIRI MKUU ATUA DODOMA KWA NDEGE YA ABIRIA.. Waziri mkuu Kassim Majaliwa amewasili mkoani Dodoma leo asubuhi kwa ajili kuhudhuria vikao vya bunge  ambavyo vinatarajiwa kuanza kesho Jumanne Waziri Mkuu ameongozana na mkewe Mary Majaliwa pamoja na viongozi mb… Read More
  • MATIBABU YA KIFAFA CHA MIMBA….. Kifafa cha mimba ni ugonjwa unaowapata wanawake wajawazito, hasa wenye mimba za kwanza. Kwa walio wengi, ugonjwa huu hutokana na kupanda kwa msukumo wa damu (High blood pressure). Ugonjwa huu utokeapo, mgonjwa hupat… Read More
  • ASKARI WA MAREKANI AUWAWA YEMEN Jeshi la Marekani limesema askari wake mmoja ameuawa na wengine watatu kujeruhiwa katika shambulizi lake lililokuwa limeelekezwa kwa kikundi cha al-Qaida huko Yemen. "Tumesikitishwa sana na kifo cha askari wetu katika k… Read More
  • DAR, LINDI NA MTWARA VINARA WA UKOMA TANZANIA.. Tanzania imeadhimisha Siku ya Ukoma Duniani tar 28 1 2017 ambapo mikoa ya Lindi, Morogoro, Dar es Salaam, Tanga na Mtwara imetajwa kuwa miongoni mwa mikoa 11 yenye idadi kubwa ya wagonjwa wa ukoma. Taarifa iliyotolewa… Read More

0 comments:

Post a Comment