Saturday, 12 March 2016

MTANZANIA ATEULIWA KUWANIA TUZO LA WANASAYANSI.

Msomi mmoja kutoka Tanzania Aneth David Mwakilili ni miongoni mwa wasomi wengine
walioteuliwa kuwania tuzo la wanasayansi wachanga barani afrika maarufu kama The Next Einstein Forum (NEF).
Tuzo hiyo huleta pamoja wasomi wa sayansi, watunga sheria na washika dau katika seKta mbali mbali barani afrika, kujadili na kuhimiza sayansi inayoweza kutatua matatizo yanayokumba bara la Afrika.
Washindi wa tuzo hiyo wanapewa ufadhili na usaidizi kutoka kwa wakfu huo ili kutekeleza utafiti wao kikamilifu.

Katika shindano hili Mwakilili, atafanya utafiti ambao utasaidia wakulimu kutokomeza kwekwe na hivyo kuimarisha mazao yao.

Related Posts:

  • KABURI LA MTUNZI WA WIMBO WA TAIFA WA UGANDA LAFUKULIWA… Kaburi la Mtunzi wa Wimbo wa Taifa wa Uganda marehemu George Kakoma limefukuliwa na watu wasio julikana, huku kukiwa na wasiwasi kwamba mabaki ya mwili wake yameibiwa. Gazeti la Daily Monitor la Uganda, limechapisha pic… Read More
  • UGANDA YAPIGA MARUFUKU WANAWAKE KUVAA SKETI FUPI KAZINI…. Serikali nchini Uganda imewapiga marufuku wanawake wanaofanya kazi katika ofisi za Umma kuvaa nguo fupi na zile zinaoonesha miili yao. Wafanyikazi hao wameambiwa kuwa ni marufuku uvaa mawazi yanaonesha mapaja, sehemu … Read More
  • KUTANA NA MWANAMKE ANAYEFUGA NDEVU…. Harnaam Kaur ni mwanamke anayefuga ndevu,na alilianza kufuga ndevu alipokuwa na umri wa miaka 16. “Nilikuwa na nyweIe zilizojaa usoni tangu nibalehe, ikafiki wakati ambapo nilifikiri iwapo nywele hizo zingeendelea kuw… Read More
  • TCRA YAZITAHADHARISHA KAMPUNI ZA SIMU…. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imezitaka kampuni za simu za mikononi nchini, kusitisha matangazo wakati wateja wanapiga simu vinginevyo wataadhibiwa. Akizungumza jijini hapa leo Alhamisi Mkurugenzi Mkuu wa TCRA M… Read More
  • SIRRO: DAWA YA MOTO NI MOTO……… Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro,amesema wanaotekeleza mauaji dhidi ya raia katika eneo la Kibiti mkoani Pwani wametumwa vibaya, na wao watapelekwa vibaya vibaya. Sirro alisema hayo jana Dar es Salaam kabla ya k… Read More

0 comments:

Post a Comment